• Map View
  • Street View
  • Directions

Juabar

  • Posted on
  • 285
Specifications
Sub-Category Start up business / SMEs small to medium size business
Sector Energy / Renewable
Target Group Low Income People, Middle Income People, High Income People, Tanzanian Market, Rural Areas, Urban Areas
Description
Juabar is a solar-powered phone charging kiosk in rural Tanzania.

Using a high quality 50W solar-PV system, Juabar can charge either 10 or 20 phones or a variation of other small electronic devices at once. Our mission is to develop profitable small business opportunities in Tanzania while meeting community energy and connectivity needs.

Bidhaa: Juabar ni kibanda cha kutia umeme kwa njia ya sola zenye mfumo bora zaidi wa kiwango cha wati 50. Kibanda hiki kina uwezo wa kutia umeme simu 10 za mkono (rununu) pamoja. Lengo letu ni kuendeleza nafasi za biashara ndogo ndogo nchini Tanzania, pamoja na kukimu mahitaji ya nguvu za umeme na mahusiano katika jamii.

Each kiosk is a charging & retail platform for local communities.

Juabar provides the service of phone charging and retail sales in Tanzania. Juabar is a platform to bring connectivity services using renewable solar energy. We are working to build our vision of an expansive network of energy platforms which provide connectivity services in East Africa.

Huduma: Juabar hutoa huduma za kutia simu umeme, na mauzo ya rejareja kwa jamii. Juabar ni jukwaa la kuleta huduma za mwungano kupitia nguvu za sola zinazotumika upya. Maono yetu ni kuwa na mfumo wa majukwaa ya nguvu za umeme, ili kutoa huduma za mwunganiko.

Tanzanian operators use Juabar as a pop-up energy business.

As a self-energized kiosk, Juabar is a product designed to exist in public space as a pop-up solar-electrified shop for entrepreneurs. Juabar is an energy business and retail location, providing the service of phone charging as well as complementary product sales. Our kiosks are an “instant business” ready for dedicated entrepreneurs to operate as part of the Juabar network and delivered with everything an entrepreneur needs to immediately start their charging business.

Biashara: Juabar ni biashara anzilishi ya nguvu nchini Tanzania. Kama kibanda kinachojitia nguvu, ni bidhaa iliyokusudiwa kuwepo katika maeneo ya umma kama duka anzilishi la sola kwa wajasiriamali. Juabar ni biashara ya nguvu na mahali pa rejareja, ili kutoa huduma za utiaji simu umeme na mauzo ya bidhaa kamilishi. Vibanda vyetu ni “biashara ya papo kwa papo” kwa wajasiriamali walojitolea, waweze kujiendeleza kama sehemu ya mfumo wa Juabar, wakipata kila wanachohitaji kuanza biashara zao mara moja. Kufikia sasa, tuna vibanda saba vya utiaji umeme vinavyoendeshwa nchini Tanzania, huku mojawapo kikiwa kimefanya kazi ya kwa muda wa mwaka mmoja. Waendeshaji wetu wa vibanda hivi wamekuwa wakitia umeme simu takriban 30 kwa siku, nao wanachangamkia kuendeleza biashara zao na kupanua nafasi zao za kujiendeleza chini ya mamlaka ya Juabar.